Maradhi haya yanatibiwa kwa mchanganganyiko wa dawa zifuatazo:- kafuri, shabu, zaafarani ya nyuzi, kudhumani, ubani mustaka, afswi. Matayarishi ya dawa hii nikama ifuatavyo:- Ponda dawa zote ziwe unga isipokuwa zafaraani. Baada ya kuwa unga zikiwa ujazo sawa ziroweke kwa mda wa masaa 12, kisha chuja mchanganyiko uliouroweka na utie ile zafaraani ya nyuzi. Dawa itakuwa tayari kwa matumizi. Matumizi. Chukua vijiko viwili vya mchanganyiko huo na utie kwenye glass ya maji kutwa mara tatu. Bi idhni llahi utapona. Dawa hii ni nzuri sana kwa matatizo hayo. Kwa mahitaji ya dawa na matatizo mengine wasiliana nami. +254732917064