Skip to main content

Posts

Showing posts from August 24, 2017

KUPASUKA MIGUU ( NYAYO )

jipake maji ya limao yaliyochanganywa na mafuta mgando asubuhi na jioni.

MTOTO ANAPEWA MAJI AKIWA NA UMRI GANI?

Umri sahihi wa kuanza kumpa mtoto maji ya kunywa ni kuanzia miez sita chini ya hapo maji hayatikiw kwa mtoto. Kwanin maji hayatakiw kwa mtoto? Maziwa ya mama yana asilimia zaidi ya hamsin ya maji, hivyo maji yaliopo kwenye maziwa ya mama yanamtosha kabisa mtoto .Kwa wale wanaotumia formula fata maelekezo kwani maji unayotumia kuchanganya yanamtosha kabisa mtoto Hivyo usimpe mtoto maji aliye chin ya miez sita maji. Isipokuwa umeelekezwa na Daktari wako wa watoto. Mtoto akipata kwikw usimpe maji mnyonyeshe kwikw itaisha au mpe maziwa unayompa . Madhara ya kumpa mtoto maji aliyechin ya miez sita nii: Maji yanazuia uwezo wa mtoto kuabsorb virutubisho vilivyopo kwenye maziwa. Maji humjaza tumbo mtoto na hivyo kumfanya anyonye kidogo . Mtoto kupungua uzito. Mtoto kutopenda kula na kupenda kunywa maji tuu .kusababisha water intoxication hii ni hali ambayo electroyte kama sodium zinakuwa diluted na maji kwa sababu maji yapo mengi hivyo kupelekea mtoto kuharisha na kutapika mara ...