Skip to main content

MTOTO ANAPEWA MAJI AKIWA NA UMRI GANI?

Umri sahihi wa kuanza kumpa mtoto maji ya kunywa ni kuanzia miez sita chini ya hapo maji hayatikiw kwa mtoto.
Kwanin maji hayatakiw kwa mtoto? Maziwa ya mama yana asilimia zaidi ya hamsin ya maji, hivyo maji yaliopo kwenye maziwa ya mama yanamtosha kabisa mtoto .Kwa wale wanaotumia formula fata maelekezo kwani maji unayotumia kuchanganya yanamtosha kabisa mtoto Hivyo usimpe mtoto maji aliye chin ya miez sita maji. Isipokuwa umeelekezwa na Daktari wako wa watoto. Mtoto akipata kwikw usimpe maji mnyonyeshe kwikw itaisha au mpe maziwa unayompa .
Madhara ya kumpa mtoto maji aliyechin ya miez sita nii:
Maji yanazuia uwezo wa mtoto kuabsorb virutubisho vilivyopo kwenye maziwa.
Maji humjaza tumbo mtoto na hivyo kumfanya anyonye kidogo .
Mtoto kupungua uzito.
Mtoto kutopenda kula na kupenda kunywa maji tuu .kusababisha water intoxication hii ni hali ambayo electroyte kama sodium zinakuwa diluted na maji kwa sababu maji yapo mengi hivyo kupelekea mtoto kuharisha na kutapika mara kwa mara .
Mtoto akifika miez sita had miez kumi na mbil mpe maji kuanzia 2oz had 4oz sawana 60ml mpaka 120ml.

Popular posts from this blog

MDUDU WA KIDOLE

Huu ni ugonjwa unaoathiri vidole vya miguu na mikono, sana sana unaathiri mikononi nadra sana mguuni.tatizo hili lisipotibiwa kwa mapema linaweza hata kufanya kidole kikakatika. Zifuatazo ni tiba za kutibu maradhi Haya :-  Njia ya kwanza Chukua mbaazi kidogo kisha ziroweke kwenye maji kwa mda mpaka zilainike, halafu utaziweka kwenye kinu na kuzitwanga mpaka zilainike, ukikosa kinu tumia kitu chochote cha kusagia ili tu ziwelaini sana. Halafu utachukua dawa hiyo na kupaka kwenye sehemu iliyoathirika na kufunga kwa kitambaa usiku mzima. Na ukiamka itakuwa imechuja uchafu wote na kufanya sehemu iliyoathirika kupona, ikiwa bado toa hiyo dawa na kufunga nyengine. Kwa uwezo was ALLAH dawa hii utapona na no mujarrab. Njia ya pili Tiba hii ni kwa mdudu anaeanza sasa kabla hajaiva na kuwa rangi ya njano. Chukua kitunguu thaum kisage kiwe laini na upake sehemu iliyoathirika kwa mda was masaa 12 kisha toa na kupaka nyengine mpaka utakapo pata nafuu. Mpemba herbal +254732917064...

UTOSI KUINGIA NDANI KWA MTOTO MCHANGA.

chukua manjano mbichi iponde iwe laini sana, kisha chukua pamba na uiweke ile dawa, kisha muekee mtoto mchanga aliena tatizo hilo utosini. In shaa allah utosi utarudi sawa. Utafanya hivyo kwa siku mara moja mpaka tatizo litakapokwisha.

HEDHI KUTOKA KIDOGO KIDOGO.

hii Mara nyingi inasababishwa na mambo kadhaa ikiwemo hormone imbalance, kutumia Dawa za family planning na matatizo mbali mbali yanayompata mwanamke ndani ya mwezi uliopita. Kwa ushauri mwanamke anatakikana spate vipimo ama amuone daktari kwa vipimo na ushauri zaidi. Kama itakuwa sio kwababu ya mimba basi mgonjwa anatakikana kutumia Dawa zifuatazo ilikufanya hedhi itoke kama kawaida. 1. Chukua mvuje na pilipili manga chemsha pomoja na anywe kikombe cha kahawa kutwa Mara tatu. 2. Chukua manemane ichemshe na mgonjwa anywe asubuhi kabla ya kula kitu kwa mda wa siku tatu. Kwa Dawa na ushauri wa magonjwa mengine wasiliana nami +254732917064.