Kwa mwanamke anaesumbuliwa na tatizo kama hili achukue sanamaki ya unga na karikariyat hakikisha ni ya unga, changanya zote kwa ujazo sawa. Kisha utachota vijiko vitano vya mchanganyiko huo na kuweka katika maji lita moja na nusu na uchemshe mpaka yabaki lita moja. Na mgonjwa anywe nusu kikombe kutwa mara mbili kwa mda wa siku 14.
NB:- dawa inatibu mpaka ngiri kwa jinsia zote ( mke na mume ).
NB:- dawa inatibu mpaka ngiri kwa jinsia zote ( mke na mume ).