Skip to main content

KUFUNGUA HEDHI


assalamu alaikum, Leo nipeonelea kutoa mada hii maana tatizo hili linawakumba wanawake mbali mbali kwasababu mbali mbali ikiwemo
1. Hormone imbalanced
2. Utumiaji wa dawa za upangaji uzazi.
3. Matatizo ya kijini.
Na matatizo mengineo mengi tu. Kwa mtu mwenye tatizo kama hili ana takiwa kwanza ajue tatizo husika ndiposa apate tiba muafaka ili shida imuondokee. Ifuatayo ni tiba ya mtu mwenye tatizo kama hili kwa upande hormone imbalance :-

Chukua haltit kijiko kimoja, fulfil abyadh kijiko kimoja, siki kikombe cha chai na Maji Lita moja. Changanya vyote pamoja na iwe unakunywa nusu kikombe kutwa Mara mbili kwa mda wa siku 14.

Kwa tiba na ushauri usisite kuwasiliana nami kwa +254732917064.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA MTU ALIEINGIWA NA JINNI SUGU.

kabla sijatoa tiba yake, ni lazima ujue unatibu nini na kwanini ni jinni. Maana zipo dalili mbalimbali zinazoonyesha mgonjwa amehusudiwa na jini na ni jini aina gani aliemuingilia muhusika. Zifuatazo ni aina na utaratibu wa kumtibu jini sugu. Dawa za kula. Habbatsaudai Habbatsufa Bakahadi Manimani Uzile Habbat rehani Karkam Halilinji Alhamza Kamun aswad Zamda Khardal Daarfilfil Filfil aswad Haltit Zaatar Harmal Sufa nyeupe Manimani Shomari Udinadi Ulinjani Sakabanji Kamun abyadh Uwatu Giligilani Karafuu Tangawizi Mdalasini Maua waridi Hakikisha dawa hizi umezitwanga na kuwa laini kisha utachukua kijiko kimoja cha kila dawa na kuchanganya kwenye asali safi ya nyuki lita moja na uisomee ruqya na mgonjwa awe anakunywa vijiko viwili mara tatu kwa siku kwa mda wa siku 30. NB Hakikisha wakati mgonjwa anatumia dawa za kula ambatanishe na za kujifukiza pamoja na za kujipaka. DAWA ZA KUFUKIZA kiribiti upele Sandarusi Haltit Karafuu maiti Mruturutu ...

KUONDOSHA MARADHI YA SUBIAN NA KUONDOA WASIWASI

Kwa mtu mwenye matatizo hayo achukue dawa zifuatazo :- - unga wa ambari nyeusi. - unga wa mvuje. - unga wa kitunguu thaum. - mafuta ya uto. - mafuta original ya zaituni. Maelezo Changanya na iwe unajipaka mwili mzima asubuhi na jioni kwa mda wa siku 21.

UTOSI KUINGIA NDANI KWA MTOTO MCHANGA.

chukua manjano mbichi iponde iwe laini sana, kisha chukua pamba na uiweke ile dawa, kisha muekee mtoto mchanga aliena tatizo hilo utosini. In shaa allah utosi utarudi sawa. Utafanya hivyo kwa siku mara moja mpaka tatizo litakapokwisha.