NAMNA YA KUTENGENEZA SIKI YA APPLE.
Mahitaji
- apple mbili
- Kopo lililo na mfuniko.
- sukari
- maji
Matayarishi
Unachukua apple unazikatakata vipande vidogo vidogo, kisha unavitia ndani ya lile kopo kisha unatia maji kwenye lile kopo na kuweka sukari hakikisha glass moja ya maji kwa sukari kijiko kimoja, tia maji kwenye kopo
Baada ya hapo funika na na uhifadhi sehemu salama. Hakikisha unakoroga kila baada ya siku kadhaa. Utaacha kwa mda wa siku 14. Kisha chuja na hifadhi kwenye friji ili ikae mda mrefu.
Baada ya mda kuisha itakuwa siki tayari na unaweza kuijaribu kwa kuionja ama kusikiliza harufu yake.
Siki mara nyingi inatumiwa kama dawa, kiungo katika kupikia ama kusafishia vyombo.

Comments
Post a Comment