Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.
- Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi
- Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic
Jambo la kuangalia ni je?
- Unashikwa kichomi ukiwa unatembea?
- Umeinama au umelala
- Ukishakula chakula
Kama unapatwa kichomi wakati ukitembea au ukishafanya mazoezi makali ina maana kuna tatizo la damu kuingia sawasawa au kuzunguka (circulation) katika moyo.
Kama unapatwa kichomi baada ya kula ina maana kuna tatizo katika chakula unachokula. Je mlo wako una acid(uchachu) sana? Je, unakula vyakula vyenye pilipili na binzari(spices) kwa wingi sana? Kama una kula sana vyakula vyenye asidi ina maana tumbo lako halimeng’enyui sawasawa linachoka.
Kawaida binadamu unabidi kubadili badili ulaji. Usirudie vitu fulani fulani kila siku. Mathalan usiweke pilipili katika kila mlo.
Tatizo jingine ni ulaji wa chakula chenye chumvi nyingi sana. Chumvi inakorofisha pia mzunguko wa damu mwilini.
Tiba
Chukua sanamaki ya unga vijiko 5 na uchemshe kwa maji lita moja na nusu na uchemshe kwa maji lita na nusu uchemshe mpaka ibaki lita moja na unywe yote ikiwa vuguvugu. pia hakikisha umekunywa maji mengi mara kwa mara.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nami.
+254732917064.
Comments
Post a Comment