Skip to main content

U T I ( URINARY TRACT INFECTION)



NINI MAANA YA U.T.I?

U.T.I ni kifupi cha maneno ya kiingereza: ‘Urinary tract infections’, ni maambukizi ya bakteria katika njia ya mkojo.

Husababishwa na bacteria aina ya clamydia tracomatis,

 Ni moja ya ugonjwa unaowakumba sana wanawake kwa sehemu kubwa ingawa hata wanaume pia wanapatwa na ugonjwa huu.

CHANZO CHA UGONJWA.

→Kushikilia mkojo kwa muda mrefu

→Kukojoa kwenye maji machafu

→Mawe kwenye figo.

→Kuongezeka ukubwa wa kibofu cha mkojo.

→Upungufu wa maji mwilini

→Ajari katika uti wa mgongo

→Maji maji na uchafu katika sehemu za siri.

→Kufanya ngono na muathilika wa U.T.I

→Kujisaidia sana kwenye vyoo vya uma,

DALILI ZA U.T.I

→kujisikia homa kali.

→Kuhisi baridi kali,

→maumivu nyuma ya mgongo

→Kukojoa mara kwa mara

→Mikojo kukutoka pasipo kutaka

→Harufu nzito au mbaya ya mkojo

→Hali ya kusikia kuungua wakati wa kukojoa

→Kupatwa ghafla na hitaji la kutaka kukojoa

Mkojo kutoka wa rangi ya njano.

→Maumivu kwenye kibofu cha mkojo na urethra.

→damu kutoka pamoja na mkojo.

Kwa tiba ya kisunna na asili isiyona madhara yeyote wasiliana nasi kwa

+254732917064

Popular posts from this blog

MDUDU WA KIDOLE

Huu ni ugonjwa unaoathiri vidole vya miguu na mikono, sana sana unaathiri mikononi nadra sana mguuni.tatizo hili lisipotibiwa kwa mapema linaweza hata kufanya kidole kikakatika. Zifuatazo ni tiba za kutibu maradhi Haya :-  Njia ya kwanza Chukua mbaazi kidogo kisha ziroweke kwenye maji kwa mda mpaka zilainike, halafu utaziweka kwenye kinu na kuzitwanga mpaka zilainike, ukikosa kinu tumia kitu chochote cha kusagia ili tu ziwelaini sana. Halafu utachukua dawa hiyo na kupaka kwenye sehemu iliyoathirika na kufunga kwa kitambaa usiku mzima. Na ukiamka itakuwa imechuja uchafu wote na kufanya sehemu iliyoathirika kupona, ikiwa bado toa hiyo dawa na kufunga nyengine. Kwa uwezo was ALLAH dawa hii utapona na no mujarrab. Njia ya pili Tiba hii ni kwa mdudu anaeanza sasa kabla hajaiva na kuwa rangi ya njano. Chukua kitunguu thaum kisage kiwe laini na upake sehemu iliyoathirika kwa mda was masaa 12 kisha toa na kupaka nyengine mpaka utakapo pata nafuu. Mpemba herbal +254732917064...

UTOSI KUINGIA NDANI KWA MTOTO MCHANGA.

chukua manjano mbichi iponde iwe laini sana, kisha chukua pamba na uiweke ile dawa, kisha muekee mtoto mchanga aliena tatizo hilo utosini. In shaa allah utosi utarudi sawa. Utafanya hivyo kwa siku mara moja mpaka tatizo litakapokwisha.

HEDHI KUTOKA KIDOGO KIDOGO.

hii Mara nyingi inasababishwa na mambo kadhaa ikiwemo hormone imbalance, kutumia Dawa za family planning na matatizo mbali mbali yanayompata mwanamke ndani ya mwezi uliopita. Kwa ushauri mwanamke anatakikana spate vipimo ama amuone daktari kwa vipimo na ushauri zaidi. Kama itakuwa sio kwababu ya mimba basi mgonjwa anatakikana kutumia Dawa zifuatazo ilikufanya hedhi itoke kama kawaida. 1. Chukua mvuje na pilipili manga chemsha pomoja na anywe kikombe cha kahawa kutwa Mara tatu. 2. Chukua manemane ichemshe na mgonjwa anywe asubuhi kabla ya kula kitu kwa mda wa siku tatu. Kwa Dawa na ushauri wa magonjwa mengine wasiliana nami +254732917064.