Ni inflamesheni ya tando
zinazofunika na kuukinga ubongo na uti wa mgongo , sehemu inayojulikana kwa kijumla kama meninjesi.
Inflamisheni hii inaweza
kusababishwa na maambukizi ya
virusi,bakteria,au na vimelea wengine.
(Inflamisheni humaanisha maumivu.)
Dalili za meninjitisi zinazotokea mara nyingi ni maumivu ya kichwa na kukazika kwa shingo , hali
inayohusishwa na homa ,
kuchanganyikiwa au ufahamu
uliogeuka, kutapika, na kukosa uwezo wa kustahimili mwanga (fotofobia ) au kelele kali
( fonofobia ).
Mara nyingi watoto hudhihirisha dalili zisizo mahususi pekee kama vile kizunguzungu na kuwashwa. Uwepo waupele unaweza kuwa dalili ya kisababishi maalumu cha meninjitisi;
kwa mfano, meninjitisi
inayosababishwa na bakteria aina ya meningokokasi unaweza kuambatana na upele.
Kwa watu wazima, dalili ya meninjitisi inayotokea mara nyingi ni maumivu ya kichwa yaliyo makali, ambayo hutokea kwa karibu asilimia 90 ya visa vya meninjitisi ya kibakteria,ambavyo hufuatwa na kukazika kwa sehemu ya nyuma ya shingo (ukosefu wa uwezo wa kuinamisha shingo kufuatia ongezeko la uzito wa misuli
ya shingo na kukazana).
Dalili tatu maarufu za kiutambuzi
huhusisha kukazana kwa sehemu ya nyuma ya shingo, homa kali , na hali ya kiakili iliyogeuka; hata hivyo, sifa hizi zote tatu hupatikana katika asilimia 44-46 ya visa vya meninjitisi ya kibakteria.
Tiba ya tatizo hili lina hatua maalumu hivyo kama unatatizo hili ni bora tuwasiliane.

+254732917064