UGONJWA WA SARATANI YA
kwa undani kuhusu saratani ya ngozi iitwayo Melanoma kwani saratani si tu kwamba ni ugonjwa hatari lakini pia ni ugonjwa unaompa mwanadamu mateso makali kutokana na maumivu
anayoyapata.
Maumivu hayo huyapata mgonjwa bila kujali kama anaugua saratani ya ngozi, ya mifupa, damu, tumbo au ya kizazi. Shida ya maradhi haya ni
kwamba matibabu yake yanahitaji gharama kubwa mno.
Melanoma ni saratani ya hatari
sana kwa maisha ya mwanadamu inapotokea mtu akaipata, basi maisha yake yanakuwa hatarini.
Saratani hii si rahisi kuigundua
ukilinganisha na saratani
nyingine za ngozi lakini pia
husambaa haraka zaidi mwilini
kuliko saratani nyingine za
ngozi.
Melanoma huweza kusambaa na
kushambulia viungo vingine zaidi
ya ngozi kama mifupa na ubongo.
Inapofikia hatua hii saratani hii inakuwa ngumu sana kutibika.
Dalili.
Dalili za saratani hii zipo nyingi
na ni vema kila mtu afahamu,
mojawapo ni kubadilika kwa
ukubwa, rangi au ule muundo wa
alama ya ngozi ambayo mtu
amekuwa nayo kwa muda mrefu
au umezaliwa nayo. Alama hii ni
ile ambayo ina rangi nyeusi zaidi
ukilinganisha na maeneo
mengine ya ngozi.
Mabadiliko haya si lazima yawe
yanatokea haraka haraka
yanaweza kuwa yanatokea
taratibu, hivyo kila mwenye baka
anatakiwa kujichunguza ili kuona
kama kuna mabadiliko kwenye
alama hiyo ya ngozi.
Ni muhimu sana kutambua
mabadiliko haya. Mabadiliko
mengine ni kama yafuatayo,
alama hii inaweza kuwa
inavimba, kingo zake zinapoteza
mzingo wake wa kawaida, alama
inakua zaidi kwa eneo kwa
mfano kutoka mzingo wa 4 mm
na kuwa kubwa na kuzidi 6 mm.
Dalili nyingine ni alama kuanza
kuwasha na kama mgonjwa
atachelewa kugundua tatizo basi
zitajitokeza alama kwenye ngozi
ambayo itapasuka na kuwa
kidonda.
Alama hiyo baadaye inaweza
ikawa inatoa damu na kuwa na
maumivu.
Kama matibabu hayatafanyika
basi saratani hii husambaa na
dalili zifuatazo huweza
kuonekana :
Tezi za mwili za kwenye
makwapa na kwenye nyonga
huvimba, mgonjwa atatokwa na
uvimbe kwenye ngozi, atapoteza
uzito kwa kasi bila kujua sababu,
atapata kikohozi kisichoisha,
atapoteza fahamu au kupata
kifafa, ataumwa kichwa kuuma.
TIBA.
Kuna tiba nyingi za kitabibu,
zilizogawanyika katika makundi
mbalimbali. Kuna zile za
hospitali ambazo ni lazima
zinunuliwe, lakini kuna tiba
ambazo kwa ushauri wa daktari
hata wewe unaweza kuziandaa
bila kutumia gharama kubwa.
Moja ya tiba hizo ni kunywa maji
ya moto ambayo yanatibu
magonjwa mengi ikiwemo figo,
kutoa sumu mwilini, kuyeyusha
mafuta tumboni, kurahisisha
mzunguko wa damu, kuondoa
sumu kwenye ubongo na
kusafisha haja ndogo.
Kunywa maji ya moto kila
unapotaka kwenda kufanya kazi
ya nguvu au mazoezi iwe kama
kinga na inashauriwa kila siku
mtu anywe glasi nane ili kutoa
taka na kila kisichotakiwa kubaki
mwilini, kupitia jasho au mkojo.
Ushauri.
Ushauri ni kuwa ukiwa na alama
yoyote mwilini inayokuwa
kamuone daktari haraka.
kwa tiba wasiliana nami
kwa undani kuhusu saratani ya ngozi iitwayo Melanoma kwani saratani si tu kwamba ni ugonjwa hatari lakini pia ni ugonjwa unaompa mwanadamu mateso makali kutokana na maumivu
anayoyapata.
Maumivu hayo huyapata mgonjwa bila kujali kama anaugua saratani ya ngozi, ya mifupa, damu, tumbo au ya kizazi. Shida ya maradhi haya ni
kwamba matibabu yake yanahitaji gharama kubwa mno.
Melanoma ni saratani ya hatari
sana kwa maisha ya mwanadamu inapotokea mtu akaipata, basi maisha yake yanakuwa hatarini.
Saratani hii si rahisi kuigundua
ukilinganisha na saratani
nyingine za ngozi lakini pia
husambaa haraka zaidi mwilini
kuliko saratani nyingine za
ngozi.
Melanoma huweza kusambaa na
kushambulia viungo vingine zaidi
ya ngozi kama mifupa na ubongo.
Inapofikia hatua hii saratani hii inakuwa ngumu sana kutibika.
Dalili.
Dalili za saratani hii zipo nyingi
na ni vema kila mtu afahamu,
mojawapo ni kubadilika kwa
ukubwa, rangi au ule muundo wa
alama ya ngozi ambayo mtu
amekuwa nayo kwa muda mrefu
au umezaliwa nayo. Alama hii ni
ile ambayo ina rangi nyeusi zaidi
ukilinganisha na maeneo
mengine ya ngozi.
Mabadiliko haya si lazima yawe
yanatokea haraka haraka
yanaweza kuwa yanatokea
taratibu, hivyo kila mwenye baka
anatakiwa kujichunguza ili kuona
kama kuna mabadiliko kwenye
alama hiyo ya ngozi.
Ni muhimu sana kutambua
mabadiliko haya. Mabadiliko
mengine ni kama yafuatayo,
alama hii inaweza kuwa
inavimba, kingo zake zinapoteza
mzingo wake wa kawaida, alama
inakua zaidi kwa eneo kwa
mfano kutoka mzingo wa 4 mm
na kuwa kubwa na kuzidi 6 mm.
Dalili nyingine ni alama kuanza
kuwasha na kama mgonjwa
atachelewa kugundua tatizo basi
zitajitokeza alama kwenye ngozi
ambayo itapasuka na kuwa
kidonda.
Alama hiyo baadaye inaweza
ikawa inatoa damu na kuwa na
maumivu.
Kama matibabu hayatafanyika
basi saratani hii husambaa na
dalili zifuatazo huweza
kuonekana :
Tezi za mwili za kwenye
makwapa na kwenye nyonga
huvimba, mgonjwa atatokwa na
uvimbe kwenye ngozi, atapoteza
uzito kwa kasi bila kujua sababu,
atapata kikohozi kisichoisha,
atapoteza fahamu au kupata
kifafa, ataumwa kichwa kuuma.
TIBA.
Kuna tiba nyingi za kitabibu,
zilizogawanyika katika makundi
mbalimbali. Kuna zile za
hospitali ambazo ni lazima
zinunuliwe, lakini kuna tiba
ambazo kwa ushauri wa daktari
hata wewe unaweza kuziandaa
bila kutumia gharama kubwa.
Moja ya tiba hizo ni kunywa maji
ya moto ambayo yanatibu
magonjwa mengi ikiwemo figo,
kutoa sumu mwilini, kuyeyusha
mafuta tumboni, kurahisisha
mzunguko wa damu, kuondoa
sumu kwenye ubongo na
kusafisha haja ndogo.
Kunywa maji ya moto kila
unapotaka kwenda kufanya kazi
ya nguvu au mazoezi iwe kama
kinga na inashauriwa kila siku
mtu anywe glasi nane ili kutoa
taka na kila kisichotakiwa kubaki
mwilini, kupitia jasho au mkojo.
Ushauri.
Ushauri ni kuwa ukiwa na alama
yoyote mwilini inayokuwa
kamuone daktari haraka.
kwa tiba wasiliana nami