1.pendelea kula chakula kisichokujaza tumbo.wali wa rangi ya kahawia,mikate ngano nzima ,matunda na mboga za majani. achana na vyakula vya kukaanga kwa mafuta ya mengi.vyakula vya sukari na vyakula vya uwanga.kama ugali na mihogo.vyakula kama maziwa na samaki havivimbishi tumbo.
2.Usijaribu kukaa na njaa kwa muda mrefu.kwani unaweza kujakupata vidonda vya tumbo.kula 4 hadi 5 kwa siku,lakini kwa kiasi kidogo sana.Hakikisha huli chakula mpaka unashiba.kama unahisi njaa ni vizuri kula matunda na mboga za majani au hata kachumbari.na kunywa na maji ya kutosha.[sio baridi]utahisi umeshiba.
3. kama unaweza ,pendelea kuogelea mara kwa mara.zowezi hili husaidia kukazanisha misuli ya tumbo.
4.fanya mazowezi mepesi ya misuli ya tumbo,zowezi hilo huhusisha kulala chali na kujaribu kuijinua juu.kwa matokeo mazuri ,fanya mara 2 kwa siku.
5. kunywa maji mengi ambayohusaidia kuyayusha chakula kwa haraka tumboni.Tahadhari,usishibe kabla ya kufanya mazowezi na unaweza kuvaa mkanda maalum wa kupunguza tumbo.kinga ni bora kuliko tiba.
Kwa dawa za kisunna za kupunguza unene wasiliana nasi.