Skip to main content

NAMNA YA KUONDOA TATIZO LA KUPATA CHOO KIGUMU.

Kwanza kabisa matatizo tajwa hapo hayana sababu Ya moja kwa moja bila ya kupata vipimo vya kitaalam kugundua tatizo Ni nini ktk mfumo mzima wa umeng'enyaji wa chakula lkn hudhaniwa kuwa upungufu wa maji ktk umeng'enyaji wa chakula, uhaba wa vyakula vyenye nyuzi nyuzi (Fiber food), uwingi wa vyakula vya protein mfano Mayai n.k hupelekea matatizo hayo tajwa.....

Tatizo hili laweza kukuondoka bila shaka ukizingatia yafuatayo (Diet na matibabu asilia) BiidhniAllah....

DIET

Ktk diet yakupasa kuviendea vyakula na matatunda yenye Asili ya nyuzi nyizi na mfano wa vyakula na matunda hayo Ni kama ifuatavyo

VYAKULA
♻ Brown rice (wali wa brown)
♻ whole wheat bread/Brown Bread (Mkate wa Brown)
♻ White Beans (maharage meupe)
♻ Black Beans (Maharage meusi)
♻ Oats meals (zapatikana Sanaa supermarket)
♻ Broccolis
♻ pumpkin (Maboga)
♻ viazi vitamu (chemsha na maganda yake ule hivyo hivyo usitoe kitu)
♻ Tende
♻ na jamii zinginezo za vyakula vya ngano

MATUNDA
♻ Apples (red apples)
♻ Parachichi
♻ Maembe
♻ ndizi mbivu (zakuiva)
♻ pears za kuiva
♻ bila kusahau Almonds  (lozi) n.k

KTK MATIBABU YA ASILIA (Tumia vitu vifuatavyo kwa pamoja)
♻ Olive oil (mafuta ya zaituni)
đź’‰Matumizi: Kunywa kijiko kimoja cha chakula asubuhi na jioni

♻ mafuta ya Habbat souda
đź’‰Matumizi: Kunywa kijiko cha chai asubuhi na jioni

♻ Apple cider vinegar
đź’‰Matumizi: Changanya kijiko kimoja cha chakula cha hii dawa ktk kikombe cha maji ya vuguvugu kunywa yote fanya hivi kwa asubuhi na jioni

♻ Moringa powder
đź’‰Matumizi: Changanya kiasi cha kijiko cha chakula ktk maji ya vuguvugu Kisha kunywa yote fanya hivyo asubuhi na jioni

*Ushauri wangu*
đź’‰ punguza Kula vyakula vya protein nyingi Sanaa yaani mayai maziwa nyama n.k jitahidi kunywa maji kwa wingi sanaaaa....
đź’‰Kama unauwezo wa kifedha tumia mafuta ya zaituni kwa wingi sanaa ktk kuandaa vyakula vyako.

Kwa kutibu tatizo hili kabisa na matatizo ya magonjwa mengine tofauti wasiliana nami.
+254732917064

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA FANGASI UKENI.

Fangasi ukeni ni muwasho sehemu ya ndani ya uke ambao unaweza kuambatana pia na kuvimba kwa uke. Leo sitaongelea sana juu ya nini kinasababisha hizi fangasi sehemu ya uke bali tutaona dozi kamili ya asili inayoweza kutibu kabisa tatizo hili linalosumbuwa wanawake wengi miaka sasa. Tumia dawa hizi 3 zote kwa pamoja ili kupata matokeo mazuri na usiache kuleta mrejesho hapa namna unavyoendelea: 1. LEMONADE Lemonade inaandaliwa kwa kutumia limau, maji, asali na mdalasini ya unga kidogo, nayo inaandaliwa hivi: *Chukua asali mbichi nusu Lita *Chukua limau kubwa 12 au zaidi, zikate katikati kila moja. Zikamuwe moja baada ya nyingine kupata maji maji ya limau mpaka umepata ujazo wa nusu lita. *Kwenye sufuria nyingine kubwa changanya mdalasini ya unga vijiko vikubwa 10 na maji lita 2 na nusu na uchemshe kama chai kisha ipua na uchuje na usubiri ipowe iwe ya uvuguvugu kidogo. *Sasa changanya pamoja asali nusu lita, juisi au maji maji ya limau nusu lita, maji ya uvuguvugu ya m...

TIBA YA MTU ALIEINGIWA NA JINNI SUGU.

kabla sijatoa tiba yake, ni lazima ujue unatibu nini na kwanini ni jinni. Maana zipo dalili mbalimbali zinazoonyesha mgonjwa amehusudiwa na jini na ni jini aina gani aliemuingilia muhusika. Zifuatazo ni aina na utaratibu wa kumtibu jini sugu. Dawa za kula. Habbatsaudai Habbatsufa Bakahadi Manimani Uzile Habbat rehani Karkam Halilinji Alhamza Kamun aswad Zamda Khardal Daarfilfil Filfil aswad Haltit Zaatar Harmal Sufa nyeupe Manimani Shomari Udinadi Ulinjani Sakabanji Kamun abyadh Uwatu Giligilani Karafuu Tangawizi Mdalasini Maua waridi Hakikisha dawa hizi umezitwanga na kuwa laini kisha utachukua kijiko kimoja cha kila dawa na kuchanganya kwenye asali safi ya nyuki lita moja na uisomee ruqya na mgonjwa awe anakunywa vijiko viwili mara tatu kwa siku kwa mda wa siku 30. NB Hakikisha wakati mgonjwa anatumia dawa za kula ambatanishe na za kujifukiza pamoja na za kujipaka. DAWA ZA KUFUKIZA kiribiti upele Sandarusi Haltit Karafuu maiti Mruturutu ...

KICHOMI

  Kichomi   ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya. Ukipatwa muda mrefu au kila wakati ; basi, chunguza zaidi. Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa. Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic Jambo la kuangalia ni je? Unashikwa kichomi ukiwa unatembea? Umeinama au umelala Ukishakula chakula Kama unapatwa kichomi wakati ukitembea au ukishafanya mazoezi makali ina maana kuna tatizo la damu kuingia sawasawa au kuzunguka (circulation) katika moyo. Kama unapatwa kichomi baada ya kula ina maana kuna tatizo katika chakula unachokula. Je mlo wako una acid(uchachu) sana? Je, unakula vyakula vyenye pilipili na binzari(spices) kwa wingi sana? Kama una kula sana vyakula vyenye asidi ina maana tumbo lako halimeng’enyui sawasawa linachoka. Kawaida binadamu unabidi kubadili badili ulaji. Usirudie vitu fulani fulani kila siku. Mathalan usiweke pilipili katika kila mlo. Tatizo ji...