kwa mtu mwenye matatizo hayo basi achukue dawa zifuatazo:-
- unga wa pilipili manga.
- karafuu
- shabu
Maelezo
Hakikisha kila moja iko hali ya unga na utachanganya zote kwa pamoja kwa ujazo sawa. Na utakuwa unapigia mswaki baada ya kupiga mswaki kwa mda wa dakika zisizopungua 5, mara mbili kwa siku mpaka utakapo poa.