japo kitunguu thaum ni tiba ya maradhi mengi sana ila ina madhara kidogo, hii ni kutokana na msemo usemao "kizuri hakikosi ila"
Hizi ni baadhi tu ya madhara ya kitunguu.
- unapotumia kwa sana kitunguu huumisha kichwa.
- thaum hutoa matamanio ya jimai upokula kwa wingi.
- pia thaum ukila kwa wingi hutia kiu ya mara kwa mara.
- thaum hukojoza sana unapokila mara kwa mara.