kisukari au bolisukari (jina la kitaalamu: diabetes mellitus) ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya glukosi katika damu. Sababu yake ni uhaba wa homoni ya insulini mwiliniau upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali insulini.
Dalili za kisukari ni
- kukojoa kupita kiasi cha kawaida
- kiu kikubwa
- kuona vibaya na matatizo ya macho hadi kuwa kipofu
- kuchoka haraka
- vidonda vinavyopoa polepole mno hasa kwenye miguu hadi kupotea viungo
Watu wachache huzaliwa na uhaba wa insulini. Walio wengi wana udhaifu fulani unaokuwa hatari kutokana na aina za vyakula na maisha ya kila siku. Kutumia sukari nyingi pamoja na mafuta mengi katika chakula na vivywaji, kukosa mazoezi ya mwili (kwa watu wenye kazi ofisini), kunywa pombe nyingi na kuvuta sigara huongeza hatari ya kushika kisukari kuanzia baada ya miaka ya ujana.
sababu ya kisukari
- uzito mwingi mwilini.
- kutokwa sana na jasho.
- ujaji wa baadhi ya vyakula.
- urathi
- kutokua na mazoezi.
Mambo ya kukusaidia ukiwa utafuata.
- epuka sukari, mafuta na vyakula vyenye starchy mfano mchele, muhogo, mahindi. nk.
- fanya mazoezi ya mwili.
- punguza uzito
- punguza usingizi wa mchana ama uache kabisa.
- tahadhari na kuumia, kukatika ama kudungika. maana mwenye kisukari huchelewa kupona jeraha.
Kwa tiba ya kisunna na asili ya maradhi haya wasiliana nasi.
+254732917064