Homa ya matumbo husababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhi. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kula au kunywa chakula au maji yalio na kinyesi cha mu aliyambukizwa.[1]Bakteria hawa hutoboa na kunyonya chakula kwenye matumbo ya binadamu
Tiba
Chukua unga wa uwatu na unga wa sanamaki na uchanganye pamoja kwa ujazo sawa na iwe mgonjwa anatia kijiko kimoja kikubwa kwa uji mwepesi usio na sukari asubuhi na jioni kwa mda wa siku 11.
